Freelancer kwa miaka 5 nitakusimulia changamoto na fursa
Freelancer kwa miaka mitano nitakusimulia  changamoto na fursa. Hii ilikuwa sehemu ya mazungumzo yangu na wadau mbalimbali kwenye Twitter Spaces. Nilipata fursa kusikia uzoefu kutoka kwa Baraka, Justin, Kalebu na Alpha.
Unaweza kusikiliza sasa na nina imani kuna jambo utajifunza.
Create your
podcast in
minutes
It is Free