Deliverance Church Zimmerman's Podcast
Religion & Spirituality:Christianity
Kibali: Ufunguo maishani mwetu ya kufurahia wema wa Mungu | Rev. Sospeter Kaunda | DCIKZ
1 Wakorinthin 10: 11-13
11 Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani.
12 Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke.
13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
#DCIKZ #Ibada
Create your
podcast in
minutes
It is Free