PUNGUZA UZITO ZAIDI KILO 12 NDANI YA MIEZI 4 UTEKELEZAPO NHC-WEIGHTLOSS BOOTCAMP.
Ni programu ya kupunguza uzito na Kitambi inatolewa mtandaoni popote ulipo unaweza kujifunza unachotakiwa kuwa nacho ni Internet simu au Kompyuta.
Mafunzo Haya yanajumuisha yafuatayo:-
1. Elimu ya sayansi ya Kitambi na uzito mkubwa
2. Elimu ya sayansi ya vyakula,Elimu ya Manunuzi,Mapishi na Jinsi ya Kuunda sahani itakayo uwezesha mwili Uchome mafuta.
3. Makosa ambayo wengi huyafanya na huwachelewesha kupata matokeo mazuri kwa wakati
4. Maswali na Majibu hasa kwa Mama mjamzito, Mama anayenyonyesha na Mtu mwenye magonjwa mengineyo kama HIV, TB na Kansa nk.
Mafunzo Yote Hayo Yapo katika Mtiririko wa mada ambazo tumeziita Moduli. Jumla ya moduli kumi zime andaliwa na Utajifunza Elimu hii kwa kutazama video zaidi ya 50+ zenye kutoa Mwongozo wa Mafunzo.
Jinsi ya Kujiunga na Mafunzo Haya: Bonyeza Link kwenye Bio yangu (Profile) au Bonyeza Link hii hapa: http://nsambohealthcare.co.tz/weightlossbootcamp
.
Tupigie kwa Msaada zaidi: 0767 030 160 | 0787 999 994 | 0767 074 124
Fika Mwananyamala Mkabala na Hospitali Mtaa wa Minazini Kinondoni Dar es salaam.