Kusudi Kuu ya Mungu | Pst. Dan Kariuki | DCIKZ
Ahadi ya Mungu kwa Ibrahimu. {Mwanzo 12.1-3}
Dunia itajawa na kumjua Bwana. {Isaya 11.9-10}
Masihi ataleta wokovu wa Mungu katika miisho ya dunia. {Isaya 49.6}
Dhibitisho ya unabii kwamba ufalme wa Mungu utajaa duniani kote. {Danieli 2.35}
Wakati ulitimia. {Wagalatia 4.4-7}