Deliverance Church Zimmerman's Podcast
Religion & Spirituality:Christianity
đź“ŚKutoka 14:5-7, 15-17, 21-27.
✔️Kabla ya huu ushindi wana Israeli walikuwa wamepitia wakati mgumu sana chini ya uongozi wa mfalme Pharaoh.
✔️Hata baada ya Pharaoh kukataa, Musa alifuata maagizo ya Mungu bila kulalamika.
✔️Ni muhimu kuamini neno ambalo Mungu ameagiza. Anaposema amenena, akiahidi atatimiza.
#SwahiliService #GreatCatch #dcikz #feelslikehome #WaitingonGodsvictory
Create your
podcast in
minutes
It is Free