Ongezeko la magonjwa ya lishe limechangia kwa kiasi kikubwa sana watu wengi kusumbuka na upungufu wa hisia za tendo la ndoa. Jinsia zote sasa hulalamika kupungukiwa hisia za kufanya mapenzi.
Watalamu wa Tiba asili na mbadala wamebaini baadhi ya dawa asili kuongezewa dawa za kemikali ili kuongeza makali au nguvu za kusimamisha na kuwezesha tendo la ndoa kufanyika.
Usiseme dawa ya kuongeza hisia ya mapenzi sema dawa ya kuwezesha mapenzi ukiwa huna hisia.Dawa hizi zinakulazimisha uweze kushiriki tendo la ndoa bila hata lidhaa yako ya kimwili. Ni hatari sana kulazimisha mwili kushiriki mapenzi wakati mwili hautaki.
Create your
podcast in
minutes
It is Free