Kupunguwa hamu ya tendo la ndoa sio Tatizo linalo wakabili wanaume pekee. Wanawake pia wanakumbwa sana na tatizo hili na ni tatizo kubwa sana huleta migogoro mikubwa sana ya kindoa.
1. Kuvurugika kwa homoni za kike. Kupanda kwa Prolactin na kushuka kwa Estrogen.
2. Magonjwa ya lishe Kitambi Kisukari Shinikizo la damu nk
3. Umri wa kikomo cha hedhi
4. Uzazi wa mpango nk
Sikiliza Elimu Kutoka kwa Dr Boaz Mkumbo.
Create your
podcast in
minutes
It is Free