Ulazima huo hauepukiki. Ustaarabu lazima Uheshimiwe na Washenzi lazima Walipie Madhara ya Matendo yao. Lazima walipe fidia. Na kama hawana Uwezo wafanyishwe kazi hadi Uharibifu ufidiwe. Hakuna Ruhusa ya Kuharibu Maisha ya Watu wengine. Tabia Mbaya zichukiwe. Dunia iwe sehemu Salama ya Kuishi.
view more