Kuna taasisi Wakigundua kama wewe ni GLBT wanaona kama Unawadai na wanalojukumu la kukulipa. unataka nini? Utajiri, Umaarufu, Ushawishi, Upendo au Mapenzi?. Serekali lazima Ipambane na Ubaguzi wa GLBT. Ndio maana siipendi CCM. Wakati Tumawaza maendeleo wao wanawaza kwanza upendeleo - Mashoga yao yanawadai na wakishindwa Uchaguzi watashindwa kuyalipa.
view more