Karibu katika episode ya tano ya ya mafunzo yetu ya afya katika episode hii utajifunza kuhusu ugonjwa wa kisukari na hasa tutajikita kuangazia ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa gani hasa, pia utajifunza kuhusu njia tatu ambazo zitakusaidia kudhibiti ugonjwa huu wa sukari nyingi kwenye damu kwa kutumia hatua hizi unaweza kudhibiti sukari yako kabisa na kuishi maisha ya furaha.
Karibu katika familia yetu kwa kujumuika nasi katika mitandao ya kijamii Facebook na Instagram sayansiyamapishi na nsambohealthcare pia ungana Dr.Boaz Mkumbo ukurasa wake wa facebook na instagram kwa jina la Drboazmkumbomd
Create your
podcast in
minutes
It is Free