MAMBO O5 YANAYO GHARIMU AFYA NA UHAI WAKO
1.Kutokuhoji Kile Unachokula na Kunywa
-Mazoea
-Malezi
-Makundi ya marafiki
-Uraibu wa vyakula (Food addictions)
2.Kuruhusu uzito mkubwa na Kupalilia Kitambi
Wengi wanatembea na Kisukari Kilicho Jificha kiitwacho Pre diabetes
3. Mwili kuwa katika msongo wa sumu zinazojeruhi mwili ziitwazo Free radicals bila 4.Kujua yaani Oxidative stress.
5. Kupuuza au kuyapotezea maradhi ya Lishe mpaka yanakuletea athari kubwa zisizotibika.
"Kufa siogopi lakini Kuishi kwa mateso ya upofu au kupoteza kiungo hapa duniani sio chaguo langu"
Create your
podcast in
minutes
It is Free